Nyumba inapangishwa Kisima, Kilimanjaro


NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE. MAJI YAPO DAWASA YANATOKA CHOONI NA MITA INAJITEGEMEA PIA KUNA KISIMA. NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, MAZINGIRA YA UTULIVU.
KODI: 100000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.