Nyumba inapangishwa Kitanda, Ruvuma


🔥MASTERBEDROOM KALI SANA SANA YA KISHUA  NAIFAULISHA  IMEBAAKI KODI YA MIEZI 2
👉PRICE 100K ,BEBA HELA
👉NAUZA PIA NA IVYO VITU VYOTE  VYA NDANI ISIPOKUA GODORO TU SIUZI
NAUZA KitandA ,kabati,nakioo , na hiyo henga ya Viatu, kitanda bila godor vyote hvyo laki 4 Tu na chumba naifaulisha...
👉NYUMBA IPO KIMARA BARUTI DARAJANI
KM 1.2 TOKA MAIN ROAD MOROGORO ROAD MWENDOKASI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI AU BODABODA BUKU TU(1000) HADI HOME......

















