Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea,
Ipo Tegeta Madale
Ina Vyumba Vinnie vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 500.000
Gharama ya kuona 20,000
Wasiliana nami
Piga simu O745010009 au 0742707023



















