Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


inapangishwa apartment vyumba viwili vya kulala vyumba vyote elf sebule dainingi kitchen public toilet maji umeme vyote vinajitegemea ndani ya fence,bei milioni 1 Kwa mwezi, mahali llipo makongo juu dar e s Salaam tz, garama yakuona elf 20 ukilipia dalali unamlipa Kodi ya mwezi mmoja, maelezo karibuni,
0719082300
0692904876
0762652066
Dalali mbezi bech afirikana