Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam







KODI 400000X6
_________
APATIMENTI ZIPO MAKONGO JUU
MWISHO WA BAJAJI
__________
UKISHUKA HAPO KWENDA KWENYE NYUMBA
UKISHUKA MLIMANI CTY BAJAJI 700
KUTEMBEA DAKIKA 10
BODA BODA 1000
__________
WAPANGAJI WAWILI
MAJI UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
=========
INAVYUMBA VYA KULALA VIKUBWA SANA VIWILI VYOTE NI VINA CHOO NDANI YANI MASTA
JIKO SEBULE KUWA
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE
_________
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
_______