Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:ZITAKUWA TAYARI MWISHO WA MWEZI HUU KULIPIA RUKSA
(Zipo 4 Kwenye fensi)
Location :: MAKONGO JUU ROAD
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks zitawekwa
🌡️Fence
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Contact
0754344786
0652472014