Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Stand House Of Three Bedrooms, Sitting Room and Kitchen 450kš
Specifications:-
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Makongo Ccmš
⢠Vyumba Viwili ni Master bedroom
⢠Jiko Lake Zuri Kabisa
⢠Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
⢠Umbali Dk 15 kutoka Main Road km 1
Payment Conditions:-
⢠Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 450kš
⢠Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
⢠Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
⢠0744701813 Normal/Whatsappš²