Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


PARTMENT NZURI SANA ZINAPANGISHWA 
MAHALI-CHADULU MORENA 
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA V2 VYA KULALA  VYOTE NI  MASTER 
SEBULE 
JIKO ZURI 
PUBLIC TOILET YA NJE 
HUDUMA
MAJI 
UMEME
PARKING SPACE IPO KUBWA 
ZIKO  2 KWENYE COMPOUND
WATER RESERVE TANK ZIPO 
BEI-350,000/= ~MWEZI
MUDA WA MALIPO-MIEZI O4+ MWEZI MMOJA MALIPO YA DALALI UTALIPA MPANGAJI
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/= MAWASILIANO
0682737603(call)
0653232555(Whatsap
KWA MAHITAJI YA VIWANJA NYUMBA NZURI ZA KUNUNUA DODOMA MJINI PIGA SIMU 0653232555/0682737603




















