Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


INAPANGISHWA APARTMENT CLASSIC
MAHALI: KISASA RELINI
-----------------------------
MUUNDO WA NYUMBA
๐VYUMBA 2 VYA KULALA
๐KIMOJA MASTA
๐SEBULE
๐JIKO
๐PUBLIC TOILET
-----------------------------
HUDUMA
๐UMEME UPO HUSHEI
๐MAJI YAPO HUSHEI
๐FENSI
๐WATER RESERVE TANKS
๐PAVEMENT
-----------------------------
๐KODI NI 450000@MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
๐ PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI UNALIPA MTEJA NJE YA KODI YA NYUMBA ๐
------------------------------
โญ๏ธGHARAMA ZA KWENDA SITE NI 10,000
---------------------------------------
MAWASILIANO
โญ๏ธ0657122976----- Calls & Whatsapp
-----------------------------------------
KARIBUNI SANA