Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.3 BODA 1000
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI MITA YAKO
PARKING SPACE IPO
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE ELFU 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA O677370515
_