Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAPANGISHWA (ZIKO NYUMBA MBILI KWENYE FENCE)
NYUMBA INA VYUMBA VITATU, MASTER,SEBLE,JIKO LA KISASA ( MAKABATI) PUBLIC TOILET,
KODI KWA MWEZI 500,000 TZS
MALIPO NI MIEZI 6
UKILIPIA NYUMBA BASI UNALIPA NA MALIPO YA DALALI AMBAYO NI KODI YA MWEZI MOJA
KUONA NA KUTEMBELEA NYUMBA NI 20K TU
KWA MAWASILIANO
0719082300
0692904876
0762652066
DALALI MBEZI BEACH AFIRIKANA ⛱️