Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,000,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1
----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿🍾