Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Chumba sebule na choo
HAINA JIKO ILA SEBLE NIKUBWA
Inapangishwa kodi laki 250,000 /= kwa mwezi
malipo miezi 6
Nyumba ipo : MBEZI BEACH TANKI BOVU
WAHI CHAPU HAILALI HII LEO 😁
DAKIKA 5 KUTOKA LAMI HADI KWA NYUMBA
Ndani ya FencedApart
Parking ipo kubwa
Maelezo zaidi
📲 0767 037 728 📶
📲 0653 267 999 📶 Ya WhatsApp
HAPA KAZI TU
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 25K