Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA MBILI TUU HII KUBWA NDIO IPO WAZI NA PEMBENI KUNA SERVANT CORTER TAYARI INAMPANGAJI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI YA NGUO NDANI
#SEBULE KUBWA ZIPO SEBULE MBILI
#DINING
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#GARDEN NZURI
#PARKING KUBWA
BEI NI 500K X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO #KIMARA_MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
#USAFIRI NI BAJAJI AU TAX SHILINGI 500
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796☎
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA