Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU BEBA PESA USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA
CHUMBA SEBULE KUBWA INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI
===
UMEME UNASHEA MAJI DAWASCO YAPO NJEE
Bei:120,000Kwa mwezi X3
===
Umbali km 1.5 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
CHAPU KABLA UJAWAHIWA
===
PIGA SIMU 0789049684