Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 300000X6
=====
APATIMENTI ZIPO MBEZI NJIA YA MALAMBA KITUO G7
ZIPO NYUMBA TATU KWENYE FENSI MOJA
======
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMUBA KUTEMBEA DAKIKA 7 KWA MIGUU BODA BODA 1000
=====
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VYA KULALA
VIWILI KIMOJA MASTA SEBULE KUBWA
CHOO CHA PABILIKI
=======
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME WAKE MAJI YA KUSHEA
======
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=====
NYUMBA MOJA IPO WAZI
#0754589413
#0785889413 wsp