Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam





Nyumba (apartiment) inauzwa
👉BEI MILION 135 inapungua (usiogope)
Mbezi Sant Joseph
0759128747 0624436503
0712058357 whatsapp
Vyumba vipo 9 ila vyumba 7 ni masta
Kila chumba kinapangishwa kwa laki moja
Ni karbu sana na chuo
Vyumba vyote vina wapangaji
Tailiz jipsam maji umeme
Ipo ndan ya fens
Na parking ipo (japokuwa unaweza kuongezea vyumba)
*UZURI NI KWAMBA HAINA MAREKEBISHO*



















