Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


💥Nyumba Nzuri Inapangishwa, MBEZI MWISHO near MAGUFULI STEND
📍200,000/= *6
______
__
• Chumba Cha Kulala
• Sebule Kubwa
• Jiko Zuri
• Choo Ndani
* UMEME na MAJI inajitegemea
* Maji Yanatoka ndani
* Zipo 3 tu kwenye Fensi Moja na Imebakia hii moja tu
* Haina Parking
* Mazingira Mazuri sana
#ipo Umbali wa kutembea tu,, pia unaweza panda bodaboda 1,000/= tu
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 200,000/=
#Service Charge 15,000/=
№: 0753-172-516