Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU BEBA PESA
USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI
===
UMEME WANASHEA MAJI DAWASCO
Bei:120,000 Kwa mwezi X4
===
Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000
==USICHOKIJUWA APO KUNA LISEVU TANK LAKWAKO MWENYEWE
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
CHAPU KABLA UJAWAHIWA
===
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















