Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT KALI SANAAA INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 18 KUTEMBEA BODA BUKU BAJAJI BUKU UKISHUKA UNATEMBEA DK 3
MUUNDO WAKE
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA, SEBULE KUBWA JIKO KUBWA
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
PIA KUNAVYOO VYAWAGENI NJE
PIA KUNASIMTENK KUBWA LAKWAKO
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 300 X 3
KUONA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747