Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam






KODI TSH 60000 K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
NI SINGO SONGO ZIPO NDANI YA FENSI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2 HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
PAZURI SANA PAKINGI IPO
KODI 60000 K X6
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
ZIPO WAZI SINGO TATU
SERVICE CHARGE TSH 15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258