Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
--------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,000,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mmoja ambayo ni milioni 1
----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beachπΉπΏπΎ