Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KUSHOTO
KUTOKA BARABARANI
UMBALI WA KILOMITA 2 POINT 5
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1500
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE
KODI 150000 K X6
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
MAJI YA KUSHEA
CHUMBA MASTA YAN SINGO ROM
KODI 80000 K X6
NYUMBA MPYA ZIPO NDANI YA FENSI UNALIPA UNAIGIA TU
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILAPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747