Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT VILLA MBEZI BEACH
--------
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
----------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 1000 kwa mwezi ilipwe miezi 6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni usd 1000
------------
CONTACT
📞#0676_218580(WHATSAPP)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿