Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(100,000X6)MBEZI KWA MSUGULI
➖➖➖➖➖➖➖➖
MASTER BEDROOM NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 UMEFIKA
KODI 100,000 X 4
ITAKUWA WAZI TAREHE 15 MWEZI HUU WA 11
KULIPIA RUKSA
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















