Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🏘️ 4 RENT __250,000x6__1BEDROOM MASTER__SEBLE&JIKO
MBEZI TO MSUGURI DK10__ KUTOKA MWENDOKAS
INAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU 
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI MITA YAKE DAWASA  YANAFLOW NDAN 
SIFA ZAKE 
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KILA MMOJA YAKE 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
__________________________
CALL__+255 679 897 628__DLL __Sd660 __tdsmtz🇹🇿🇹🇿🇹🇿



















