Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







0677445508
#APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA
MKONO WAKULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI UMBALI KM/ 2/ 5 KUFIKA
USAFIRI BAJAJI 700/ UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
SIFA YANYUMBA
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA
JIKO KUBWA
PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250/ X 6
KUONA NYUMBA ELFU 20000
UTAMLIPIA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CALL



















