Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER SEBULE NA KIBARAZA
APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 18 KUTEMBEA BODA 1000
CHUMBA MASTAR SEBULE NA BARAZA
INATAILIS GYUPUSAM DILISHA KIOO
MAJI YANATOKA CHOONI UMEME SABMETER
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCKS
KODI 150 X 5
UKILIPA KODI NYUMBA INAPIGWA RANGI
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747