Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


7/3/2024
Nyumba inapangishwa apartment 2
Location mbweni mpiji
Bei 350000 Kwa mwezi
Miezi 4 au 6
Vyumba 2 kimoja Master bedroom sitting room kitchen cabinets dining room public toilet
Inajitegemea maji na umeme
Ipo ndani ya fence
Contact 0783436763 au 0711421798