Nyumba inapangishwa Mikocheni, Dar Es Salaam


Master bedroom kubwa na Jiko 400k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Mikocheni A📍
• Chumba kimoja Master Bedroom
• Jiko Linawekwa mpangaji akishalipia
• Full Air conditioner & Heater Bafuni
• Makabati Ya Nguo yapo
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Nyumba ipo karbu sana Na Barabara
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 400k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/WhatsApp📲