Nyumba inapangishwa Moshono, Arusha


HOUSE FOR RENT ARUSHA
3 Bedrooms ina kabati chumban
1 master
Sitting room
dining room
Big kitchen yenye makabati
Store heater system
Public toilet
Maji ya Auwsa 24hrs
Umeme luku
Car parking space
Ina pavement na fence
Location nzur sana moshono
Opposite na Esikarii garden
Bei: 400000 kwa mwezi
Malipo miezi 6 kwa mwiitaji
0753503791/0784457400