Nyumba inapangishwa Moshono, Arusha


INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Ni nyumba ina ina room mbili za kulala vyote master
Ina sebule kubwa
Ina dinning,
Ina store
Ina public toilet
Ina jiko kubwa lenye makabti
Ina heater ya Maji moto
ipo moshono club d
Wapangaji 2
mita 100 toka lami...
Bei 500,000/=kwa mwez
Kodi ilipwe miez sita
Call 0758105801/0769077001