Nyumba inapangishwa Nzuguni, Dodoma


FURNISHED HOUSE -NYUMBA INAPANGISHWA-PEKE YAKE KWENYE FENSI (INAPANGISHWA NA VITU VYAKE,PIA USIPOVITAKA VINATOLEWA)
_______
MAHALI-NZUGUNI(MORO-DAR ROAD)
_______
MUUNDO
-VYUMBA 03 VYA KULALA(01 NI MASTA)
-SEBULE
-JIKO
-DINING
-PUBLIC TOILET
NYUMBA NDOGO YA NJE YENYE
-CHUMBA MASTA
-SEBULE
-JIKO
__________
BEI-1,500,000@MWEZI
MALIPO-MIEZ 3+MWEZI MMOJA WA DALALI
0622111186/0767833496