Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (CHUMBA KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINAKABATI, SEBULE, DINING NA JIKO LENYE KABATI NA STOO.
UMEME INAJITEGEMEA.. MAJI YAPO YA DAWASA MASAA 24.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI, KITUO KONA.
KODI: 350000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.