Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA.
ZIKO APARTMENT 4 KWENYE FENSI.
INAJITEGEMEA MITA YA MAJI NA UMEME.
HOUSE DETAILS: INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE, NA JIKO + STORE.
LOCATION: PUGU KONA KAJIUNGENI.
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 3. BILA KUSAHAU DALILI MALIPO KODI YA MWEZI MMOJA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.