Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, IKO YENYEWE KWENYE FENSI.
INA VYUMBA VITATU (KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINAFENI, SEBULE, DINING NA JIKO.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI, KITUO UWANJANI.
KODI: 250000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.