Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA DINING, JIKO NA STOO. MAJI YAPO DAWASA YANATOKA NDANI KOTE.
NYUMBA NI KUBWA NA INA NAFASI YAKUTOSHA, IKO KWENYE FENSI YA WAVU.
KODI: 250000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.