Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA, SEBULE NA JIKO. FENI KOTE SEBULENI NA CHUMBANI. MAJI YAPO HAPO HAPO DAWASA KWA NNJE.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI MATAA.
KODI: 100000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949