Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, APARTMENT ZIKO TATU NDANI YA FENSI.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO.
MAJI DAWASA MITA INAJITEGEMEA, NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI.
KODI: 250000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.