Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
HAPA KUNA CHUMBA, SEBULE, CHOO CHA NDANI, JIKO NA FENI SEBULENI NA CHUMBANI. NYUMBA ZIKO MBILI TU KWENYE FENSI.
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA YENYEWE.
KODI: 130000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU, KITUO KIGOGO SOKONI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.