Nyumba inapangishwa Sakina, Arusha


NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
Ni Nyumba Classic Mpyaa
Ni kimoja cha kulala Chumba
Ina sebule kubwa
Ina Choo
Ina Jiko open kitchen
KUNA MAKABATI CHUMBANI/JIKONI
Ina heater System
KODI:250000/= kwa mwezi
Call 0758105801