Nyumba inapangishwa Sakina, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
Ina Vyumba vitatu moja Master
Ina Sebule kubwa na Dinning
Ina Choo cha public
Ina Jiko lenye makabati
Ina Store
Ina Heater system
Ina Parking
KODI:400,000/= kwa mwezi
Call 0758105801