Nyumba inapangishwa Sakina, Arusha


NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA SAKINA WHITE ROSE ARUSHA
Ni Nyumba Classic Mpyaa zimeisha imebaki moja
Ni kimoja cha kulala Chumba
Ina sebule kubwa
Ina Choo
Ina Jiko open kitchen
KUNA MAKABATI CHUMBANI/JIKONI
Ina heater System
KODI:250000/= kwa mwezi
Call 0758105801