Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam







🏡 Standalone House for Rent – Sinza
✨ Kodi: 1,200,000 TZS kwa mwezi
💰 Malipo: Kuanzia miezi 6
📋 Features:
• Vyumba vya kulala vya kutosha
• Sebule spacious yenye Dining
• Jiko la kisasa lenye kabati safi
• Vyoo na bafu safi vya ndani
• Parking kubwa (inaweza kuchukua magari 6 hadi 8)
• Eneo lenye space ya kutosha na mazingira tulivu
📍 Location: Sinza – eneo zuri, karibu na huduma muhimu
🔐 Usalama: wa uhakika
📞 Wasiliana na Mshua kwa maelezo zaidi au viewing 📲 0678512666