Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 490,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 490,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING

BEI NI 490,000/=X 6

❌PESA HII YA KODI IMEJUMLISHWA NA GARAMA ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VYOTE HULIPII ANALIPA MWENYE NYUMBA

🏘️ APARTMENT HII NZURI IPO SINZA VATICAN NA IPO JIRANI KABISA NA MAIN ROAD NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0753 989554
0773700963
=====

Bashiri Ngenzi
dalali_mbezimwisho_kibamba
Bashiri Ngenzi

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

Apartment Kali Sana InapangishwaMahali: SinzaBei: 500,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Lami Nyumba☑️Chu...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,500,000

Nyumba Ya Kifamilia InapangishwaMahali: Sinza MadukaniBei: 1,500,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Zipo ...

Nyumba/Apartment (Furnished) inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 900,000

Apartment fully furnished for rent Mahali: SinzaBei: 900,000 Kwa Mwezi per month Malipo: kuanzia kua...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

FREM@Inapangishwa @Bei 200.000 kwa mwez maongize yapo@Mahali sinza mtaan‘@Malipo miez 6 na dalali 7...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

FREM @Inapangishwa @Bei 500.000 kwa mwez@Mahali sinza @Malipo miez 6 na dalali 7@Garama ya kupelekwa...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

FREM @Inapangishwa @Bei 300.000 kwa mwez@Mahali sinza @Malipo miez 6 na dalali 7@Garama ya kupelekwa...

Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#APARTMENT FOR RENT 🏡-Masterbedroom , Sitting & Kitchen FOR RENTPRICE : 600,000Tsh per Month LOCATI...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Frem for rent Location sinzaPrice 400k

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Frem for rent Location sinza Price 500k

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAPANGISHWA⏺FREM LOCATION : SINZAPRICE : 300KTERM OF PAYMENT : 6months inNB : viewing fee 20k Call ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

New apartment for rentLocation:- Sinza MadukaniPrice:- For two bedrooms Million 1.2 For three bedroo...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 90,000

Air Bnb (Studio) For RentLocation: Sinza MoriPrice: 90k Per Day☑️1bed, Kitchen Room And Toilet☑️Secu...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Frame for rent Ipo Sinza Zipo tatu unaweza kuunganisha zote MLANGO wa Kiko unawekewa Parking ipo Bei...

Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Apartment Kali Sana InapangishwaMahali: SinzaBei: 400,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Lami Nyumba☑️Chu...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🚪 FRAME MPYA INAPANGISHWA – SINZA MORI💰 Kodi: 300,000/= kwa mwezi✨ Eneo lenye wateja wengi✨ Karibu...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🚪 FRAME MPYA INAPANGISHWA – SINZA MORI💰 Kodi: 300,000/= kwa mwezi✨ Eneo lenye wateja wengi✨ Karibu...

Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

FREM@Inapangishwa @Bei 350.000 kwa mwez@Mahali sinza @Malipo miez 6 na dalali 7@Garama ya kupelekwa ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

CHUMBA KIMOJA MASTER @Kinapangishwa@Bei 180.000 kwa mwez@Malipo miez 3 na dalali 4 @Mahali sinza bar...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

Apartment kali sanaa inapangishwa bei 700.000 kwa mwez mahali sinza malipo miez 6 na dalali 7 ni vyu...

Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

Apartment Kali Sana InapangishwaMahali: SinzaBei: 600,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Lami Nyumba☑️Chu...