Nyumba inapangishwa Sombetini, Arusha


Njoo na 200,000 kwa mwez
Inapangishwa sombetini ipo barabara kabisa arusha
Ni nyumba yenye Bedroom mbili haina master
Ina Sebule
Ina Choo cha public ndani
Ina parking
Bei 200,000 kwa mwez
Kodi inajumlishwa na mlinzi
Call 0758105801/0693412119