Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Sanene.
Master na jiko.
Ipo ndani ya fence ila gari hailali labda pikipiki.
Kila kitu unajitegemea.
Anaweka madirisha aluminum.
Kodi 150,000/= MIEZI SITA.
Muhitaji piga 0688 412 890.