Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







#KODI 150K MALIPO MIEZI X6
LOCATION TABATA BONYOKWA UKISHUKA KITUONI DK 7 KWA MGUU
USAFIRI DALADALA ZA K/KOO - M/MOJA
SIFA ZA NYUMBAš
CHUMBA MASTER BEDROOM
JIKO FULL MAKABATI
TYRIES GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
CCTV CAMEL
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI SH.150000 MALIPO MIEZI X6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBAš¤
###0655256419