Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







#0688653940__
#0710614924
#KODI 250K MALIPO MIEZI X6
LOCATION #TABATA _KIsUKULU_MIGOMBANI STENDI UKISHUKA DK 7 KWA MGUU
NEW APARTMENT KWENYE FENCI ZIPO 5
SIFA ZA NYUMBA👇
#CHUMBA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO FULL MAKABATI
#NYUMBA IKO KWENYE FENCI #PARKING KUBWA #PAVING BLOCK #MAJI YANA TOKANDANI #UMEME MITA YAKO #USALAMA WAKUTOSHA #BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
#KODI 250K MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝