Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA HII INAPANGISHWA IPO TABATA KINYEREZI MUHANGA SONGAS.
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER, SEBULE, & JIKO.
NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME.. NI APPARTMENT ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND MOJA.
NYUMBA INAPANGISHWA LAKI 250k.. KWA MWEZI.
UMBALI KUTOKA KINYEREZI MWISHO STAND KM 2
KWA BODA 1000 BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIK 5 UP APO